Luxury Leather & Tactical Gear
100% genuine full-grain leather products manufactured in Arusha, Tanzania for worldwide export.
Kifaru Leather Products
ni bidhaa za ngozi halisi zinazotengenezwa kwa mikono zikilenga uimara mkubwa, ubora wa hali ya juu, na mtindo wa kisasa kulingana na jina lake "Kifaru".
Aina Kuu za Bidhaa
Viatu vya Kazi na Ulinzi: Viatu vigumu (safety boots) na viatu vya kijeshi/ulinzi vilivyotengenezwa kwa ngozi inayohimili mazingira magumu.
Viatu vya Kawaida na Ofisi: Loafers, viatu rasmi vya ngozi, na boots za safari kwa ajili ya muonekano wa kila siku na starehe.
Mabegi na Mikoba: Mabegi ya mgongo (backpacks), mabegi ya usafiri (duffel bags), na mikoba ya laptop yenye mshono imara.
Vifaa vya Kila Siku: Mikanda ya ngozi halisi, pochi (wallets), na vibeti.
Sifa Kuu
Ngozi Halisi (100% Genuine Leather):Inatumia ngozi bora isiyopasuka wala kuharibika kwa urahisi.
Uimara Mkubwa: Mshono wa nyuzi nene na imara unaohimili matumizi ya muda mrefu.
Starehe na Usalama: Soli za mpira zisizoteleza pamoja na padding ya ndani kwa ajili ya kuvaa siku nzima bila kuumiza miguu.
BestsellerVYA KIKE MA VYA KIUME
tuna uza viatu bora vya kike na vya kiume imara sana kwenye kila hari vipo vya aina nyng kalibuni wote.

SEND ZA KIKE NA ZAKIUME
Kwa lika zote na jinsia zote tunauza send imara za ngozi ambazo haziishi na zinadumu sana kwa mda mrefu.

MIKANDA YA JINSIA ZOTE
Mikanda ya rika zote inapatikana kwetu wahi sas ujipatie mkanda mzuri na wakudumu kutoka kwetu.
NewSafari Travel BOOTS
Unatafta buti nzuri kwajili ya kusafilia na kutokea njoo kwetu saiz ujichagulie za jinsia zote na rika zote.

Tactical Duty Command Boots
Water-resistant full-grain leather combat boots engineered for all-terrain durability.